Friday, July 15, 2016

ZITTO KABWE AFUNGA NDOA KISIWANI ZANZIBAR

Mbunge wa Kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo  Zitto Kabwe amemuoa mpenzi wake
 aliyemvisha pete ya uchumba 
miezi miwili iliyopita, ndoa na sherehe zote zimefanyika Zanzibar


Sasa ni Mr. & Mrs. Zitto

Zitto akiwa na Mke wake mara baada ya kufunga 
ndoa huko Zanzibar jana July 14, 2016.

No comments:

Post a Comment