Waumini wa dini ya Kiislam wakiongozwa na Sheikh Abdulkadir Mohamed wakiswali swala ya Eid El- Fitr asubuhi hii kwenye Uwanja wa Mwembe yanga Wilayani Temeke, jijini Dar es salaam.
Waumini wakisiliza hutba ya swala ya Eid katika uwanja wa Mwembe yanga.Waislamu nchini Tanzania wanaoungana na wenzao sehemu mbali mbali duniani kusherehekea Sikukuu ya Eid el-fitr kuhitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
No comments:
Post a Comment