WAZIRI MKUU WA INDIA NAREDRA MODI AANZA ZIARA YA KIKAZI NCHINI TANZANIA.
|
Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akiwa na Mgeni wake Waziri mkuu wa India Narendra Modi mara baada ya kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo |
|
Waziri mkuu wa India Narendra Modi akikagua gwaride la heshima ikulu Jijini Dar es salaam leo hii. |
|
Rais John Magufuli na Mgeni wake Waziri Mkuu wa India Narendra Modi wakiwapungia mkono wananchi Ikulu jijini Dar es salaam leo |
Waziri mkuu wa India Narendra Modi akionyesha ujuzi wa kupiga ngoma ikulu jijini Dar es salaam sambamba na nwenyeji wake Rais John Magufuli
|
Rais John Magufuli leo amefanya mazungumzo ya faragha na waziri mkuu wa india Narendra Modi Ikulu jijini Dar es salaam
|
|
Rais John Magufuli na Waziri Mkuu Narendra Modi wakiongoza ujumbe wa nchi zao katika mazungumzo yaliofanyika leo Ikulu. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa Kihistoria baina ya Tanzania na India hasa katika nyanja za kiuchumi. |
No comments:
Post a Comment