Tuesday, July 5, 2016

KESHO NI SIKUKUU YA EID EL FITR
·Sheikh mkuu wa Tanzania amesema kuwa mwezi umeandama na kuonekana maeneo mengi ya nchi hivyo kesho itakua ni sikukuu ya Eid Al Fitr.

Blog hii inawatakia Waislamu wote duniani na Watanzania kwa ujumla sikukuu njema ya Eid El
fitr.

Tusherehekee kwa amani na utulivu huku tukizingatia mafundisho ya bwana mtume Muhammad S.A.W.

No comments:

Post a Comment